Mwanamuziki 20% amefanya makamuzi matata sana na yakuvutia katika show wakati iliyofanyika jana usiku pale alipojumuika na Bendi ya Mapacha Watatu ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub.
Mwendo kusikilizana na kugawa maladha ya ukweli palekati ni 20% akiwa na Josee Mara wa Mapacha Watatu.
Producer producer kweli nikimaanisha mwanamuziki ni Man Water or Man Maji akizicharaza vilivyo Tumba wakati 20% akitumbuiza.
Tuzo nilizo nyakuwa mwanenu ni hizi hapa akiambatana na kampani yake kuzianika tuzo za Kili 2011.
Kama ni mwandiko darasani basi huu ni mcharazo, ni pale patamu penye sebene'na Mapacha Watatu.
Hawa ndiyomapacha watatu kutoka shoto Kharid Chokoraa, Jose Mara na Kalala Junior wakiimba moja ya masongi pendwa ya bendi yao. PICHA ZOTE NA HABARI HISANI YA mtaakwamtaa.
Alhamis ya Kitajiri na Meridianbet Imefika
-
NI siku nyingine kabisa ya Alhamisi ambapo leo hii tutaenda kushuhudia Nusu
Fainali za pili za Europa League na Conference huku Meridianbet wakiweka
o...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.