BRO MOHAMED OMAR WA LIVERPOOL HIKI NDICHO KIPITA SHOTO CHA BARABARA YA NYERERE NAMUONEKANO WAKE MIAKA YA SASA.
MABINGWA WATETEZI ITALIA WAMEAGA KWA AIBU FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA KATIKA HATUA ZA MAKUNDI WAKIWA MKIANI WALIPOCHAPWA 3-2 NA SLOVAKIA. JANA NDO NILIGUNDUA KUWA ROCK CITY INA WAPENZI WENGI WA ITALIA KWANI HAWAKUAMINI FILIMBI YA MWISHO.
BILA SHAKA WAWAJUA HAWA!! Sanaa ni usanii wowote, yaani utendaji wa binafsi au wa pamoja ambao, kwa kutumia vipaji vya kuzaliwa navyo au mbinu zinazotokana na mang'amuzi na masomo, unabuni na kuleta uzuri. Sanaa imegawanyika sehemu nyingi: k.mf. muziki, uigizaji, uchezaji, uchoraji, upigaji picha, sinema, ushonaji, uhariri, uchongaji, uandishi, ushairi n.k.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
Naomba upige picha vizuri Nyerere Road niyaone majengu mapya ni muda mrefu.
ReplyDelete