Tupe maoni yako
PROF. CAROLYNE NOMBO ARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA KAMPASI YA MZUMBE TANGA
-
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo
ametembelea eneo la ujenzi wa Kampasi mpya ya Chuo iliyopo Wilaya ya Mkinga
mkoani...
28 minutes ago
naona tu vioo vioo tunazidi kuja mwanza
ReplyDeletekazi njema.Jaribu kuitangaza blog yako kwa kina michuzi, mjengwa, florasalon,jamiiforums, jiachie, na kwingineko. Waambie blog yako inahusu habari za kila siku za kanda ya ziwa hususan jiji la mwanza utapata mashabiki kwani kuna watu wengi wa lake zone wanahitaji kujua habari za maendeleo katika mikoa yao, blog ikiwa na mashabiki wengi itakufanya upate wadhamini na kuweza kujiendesha kibiashara. Binafsi natamani kuwa na blogu lakini nataka ilipoti habari za mwanza, kinachonishinda niko mbali na mwanza hivyo si rahisi ku-update kwa habari za uhakika,
labda nikirudi nyumbani.
BMK