ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, October 16, 2019

LIONEL MESSI AKABIDHIWA TUZO YAKE YA KIATU CHA DHAHABU.

Lionel Messi La Purga tayari kashakabiziwa tuzo ya Golden Boot iliyotokana na kuwa mfungaji bora wa ligi za Ulaya msimu wa 2018-19.

Hii inakuwa tuzo yake ya sita (6) ya Golden Boot akitwaa katika nyakati tofauti.

Messi katika picha ya pamoja na mkewe Antonella Roccuzzo na watoto wao Thiago na Mateo baada ya kuipokea tuzo hiyo jijini Barcelona

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.