.
Tumezungumza na Mussa Ntobi jamaa ambaye analihudumia eneo hilo la makaburi tangu mwaka wa ajali hadi Leo naye alishiriki kuchimba makaburi hayo mwaka 1996. Anadai eneo hilo kutelekezwa na hata mshahara wake unakusuasua..... nao wahusika wametoa majibu.
.
Twazidi kuwaombea kwa Mungu wale wote waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo, pia twawapa pole tena na tena wale wote ambao ndugu zao walikumbwa na madhila hayo.
Amina! -
Tupate kupitia Jembe Fm Mwanza saa 5 asubuhi hadi saa 7 mchana #KAZINANGOMA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.