Furahia muziki wa watu kabila la Sukuma (Wasukuma) toka mkoani Shinyanga ndani ya Maadhimisho ya sikukuu ya mavuno Bulabo yaliyofanyika viwanja vya michezo Kisesa mkoani Mwanza.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment