ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 12, 2017

SHEIKH PONDA ANA SIKU TATU KUJISALIMISHA POLISI.Kamanda wa Polisi kanda maalumu Dar es salaam Lazaro Mambosasa  ametoa siku tatu kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda kulipoti kwa  ZCO ili aweze kuhojiwa kufuatia mkutano alioufanya jana na wandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Kamanda Mambosasa amesema hayo leo alipokua akizungumza na waandishi wa habari leo na kumtaka Sheikh Ponda afike ili aweze kuhojiwa na kama atakutwa na kosa la jinai ambalo anadaiwa kulifanya aweze kufikishwa kwenye vyombo husika.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.