Kupitia taarifa iliyotolewa mnamo mwezi July 4 mwaka 2016 na Katibu wa Sekretarieti ya Kitaifa
ya kuzuia na kupambana na biashara haramu ya bianadamu kutoka Wizara ya
Mambo ya Ndani ya nchi, Bw. Separatus Fella alipokuwa akiongea katika
mkutano uliondaliwa na Shirika la Kimataifa la Msaada wa Sheria (NOLA)
kwa lengo la kutoa elimu juu ya mdhara ya kusafirisha watoto.
NUKUU YAKE INASEMA "Tanzania ni mkondo na chanzo cha usafirishaji wa wanawake na watoto wanaopelekwa kwenye biashara ya utumwa wa ngono katika mataifa mengine, na hii ni kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa nchini Marekani," alisema Fella.
Aidha wasafirishaji binadamu wamekuwa wakitumia Tanzania kama chanzo cha kupitisha na kupata watoto wanawake wakufanya biashara hiyo.
Baadhi ya mambo yanayochochea biashara ya usafirishaji haramu binadamua ni pamoja na umasikini na kukata tamaa, ukatili wa majumbani, njaa na vita, ukosefu wa ajira na mishahara kidogo, ndoa kuvunjika, kukosekana kwa usawa wa kijinsia na ukosefu wa elimu.

Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.