Wafanyabiashara wa
vitunguu katika soko la Migombani katika halmashauri ya Sengerema mkoani Mwanza , wamelalamikia kuwepo kwa watu
kujitokeza na kuwatishia kuwafukuza
katika maeneo waliopewa kufanyia biashara wakidai kuwa maeneo hayo
yamepangwa kaajili ya shughuli nyingine, huku watu hao wakijichukulia
mali na fedha kwa baadhi ya wafanyabiashara hao ili kuwabakiza sokoni
hapo.
Jembe
Fm imekuwa mkombozi kwa kulifukunyua hilo kwa kuliweka hadharani ambapo
sanjari na kuzungumza na wafanyabiashara wa soko hilo pia imefanikiwa
kuongea na wenyekiti wa soko. YAPI YAMEJIRI TUJIUNGE NA MWAKILISHI WETU
OSCAR MWANA WA KAHUKA LIVE TOKA SENGEREMA... (SAUTI KUWAJIA HIVI PUNDE)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.