Mtangazaji wa kipindi cha 'Kazi na Ngoma' toka Jembe Fm Mwanza Mansour Jumanne (kulia) akipokea cheti cha kutambulika kama mmoja ya wanaharakati waliosaidia zoezi la Upimaji na Uchunguzi wa Afya kwa wanannchi kata ya Bugarika iliyopo wilayani Ilemela jijini Mwanza @kennyhirly (wa pili toka kulia) @Tinomihayo toka (wa tatu) #Vacfoundation_tz @chrissthedj (kushoto) Picha by @gsengo Aksante #jembefamily Kwa sapoti ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.