Muda huu ndani ya ukumbi wa Mikutano Gold Crest Hotel Mwanza Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ana kwa ana na vyombo vya habari katika Mkutano wa Kamati Kuu ya Chama hicho uliogawanywa sehemu kuu 3:-
1. Kutoa Taarifa kwa vyombo vya habari
2.Kupokea taarifa za mikutano mbalimbali ya *Amshaamsha*
3.Ajenda ya Uchaguzi Kanda ya Ziwa.
ITAENDELEA HAPA HAPA..
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.