ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, September 20, 2016

KOSHA MACHO KWA PICHA ZA MAZINGIRA SINGIDA, SHY 2 MZ.

Singida kipande cha vumbi kilicho salia.
Usione punda akibeba mzigo ngangari kuliko wanyama wengine wafugwao kama ng'ombe ambao wanaonekana kuwa na miili ikubwa, Nimepata maelezo kwamba mafuta ya muguu ya punda iliyochomwa ni dawa kwa matatizo ya miguu, viungisho na nini na nini duh...!!
Baiskeli usafiri muhimu mkoani Shinyanga.
Tinde.
Kituo cha mabasi.
Wanaume na kazi kazini....
Mikakati ya kufanikisha Tanzania ya Viwanda.
Mifugo na ufugaji.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.