Idadi hiyo inatokana na vifo 1,286 vilivyochagiwa na ajali 4,177, zilizotokea kuanzia Januari hadi Mei mwaka huu.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga amesema jana kuwa ajali hizo zinajumuisha bodaboda, magari na vyombo vingine vya usafiri.
Mpinga amezitaja sababu za kutokea kwa ajali hizo kuwa ni makosa ya binadamu kwa asilimia 76, makosa yanayotokana na ubovu wa vyombo vya usafiri (16) na makosa yanayotokana na ubovu wa barabara
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.