Taarifa zaidi zinasema Machali ambaye amekuwa Naibu Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, amefikia uamuzi huo baada ya kuridhika na sera, falsafa na itikadi za Chama cha ACT-WAZALENDO Chama kilichojengwa ktk misingi kumi imara ya Chama kilicho na vichwa vingine vikali katika siasa ka Mhe. Zitto Kabwe.
Tutaendelea kufuatilia suala hili kwa ukaribu zaidi ikiwa ni pamoja na kumtafuta Mhe. Machali na kurejea na uthubitisho.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.