Moto huo uliodumu kwa masaa manne umesababisha hasara kwa wafamuabiashara sokoni sokoni hapo ambao wengi wao vibanda na bidhaa zao zimeteketea.
Juhudi za wafanyabiashara na zimamoto kahama kuuzima moto huo ziligonga mwamba hadi hapo msaada kutoka mgodi wa acacia buzwagi ulipofanikiwa baada ya kikosi cha zimamoto toka mgodi huo kufanikiwa kuuzima licha ya kuwa moto ulikuwa tayari umeleta madhara.
Mkuu wa wilaya ya Kahama akiongea na waandishi wa habari kutoka dodoma amesema anasubiri taarifa toka kwa kaimu mkuu wa wilaya mara baada ya kupata ripoti za tanesco na zimamoto kahama ndipo atalizungumzia.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.