Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika ulipaji wa kodi za majengo ya NHC.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akielezea kwa waandishi wa habari jinsi huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya Simu na akaunti za Benki inavyofanya kazi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.