Taarifa zinaendelea kupenyezwa zikisema kuwa gari la tatu ni dogo aina ya Spacio ilikuwa na familia ya baba na mwanae, baba kafariki dunia, mtoto ni majeruhi akiwa katika hali mbaya.
![]() |
| Wananchi wakisaidia katika uokozi. |
![]() |
| Hali tete. |
![]() |
| Basi la Ngorika nyang'anyanga. |
![]() |
| Eneo la tukio. |
![]() |
| Taswira tofauti. |
![]() |
| Basi la Ngorika katika ajali hiyo |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment