| Digna Mpera akiimba na kucheza kwa umahiri kabisa ili kuwapa burudani wapenzi na mashabiki wake |
| Anaitwa Aneth Kushaba A.K.A AK47 au Le Meneja Her Self akiimba kwa mikogooo safi ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani ya nguvu Mashabiki wake |
| Le Meneja Her Self Akiimba kwa Hisia Kaliiiiii Kabisaaaaa |
| Aneth Kushaba(katikati)akiongoza madiva wenzake wa Skylight Band Digna Mpera(kulia) na Mary Lukos(kushoto) kushambulia jukwaaa sawa sawa na kwa vocal kali |
| Hashimu Donode A.K.A Dogo Dogo akilishambulia jukwaaa kwa nguvu ili kuwapa burudsni mashabiki wake |
| Hapo sasaaaa Bana ba Kongooo wakianza kuyarudi mauno taratibuuuuuuu |
| Joniko Flower(kushoto)akiongoza Majembe ya Skylight Band Sony Masamba(katikati) na Sam Mapenzi(kulia)kucheza masebene yaliyokuwa yakiporomoshwa ndani ya Thai Village |
| Sony Masamba(kushoto) na Sam Mapenzi(kulia)wakiyarudi kwa rahaaa zaooo |
| Hapana chezea kabisa vijana hawaaaaa,si unaona mwenyewe mastepu hayooo njooo leo na wewe ufurahiiii |
| Hapo sasa Aneth Kushaba Le Meneja Her Self(kulia) Akiwapa tafu ya mauno lainiiiiii na nyoroti Sony Masamba(katikati) na Joniko Flower(kushoto) |
| Daudi Tumba Akiziadhibu vilivyo tumba zake ili kuleta ladha nzuriiiiiii ya muziki |
| Tophy bass Akilikung'uta vilivyo Gitaa Lake kuleta ladha tamuuuuuuu kwenye muziki |
| Mozee Vinanda akifurahia kuzipapasa tufe za kinanda chake na kuleta ladha tamuuuu kwenye muziki unaopigwa |
| Viunooooo Viunoooooooo hapo ni mashabiki wakicheza kwa raha zaooooo muziki mzuri uliokuwa ukipigwa na vijana wa Skylight Band |
| Hapo ni viunoooo hatari kwa mashabikii kwa mduara mzitooo uliokuwa ukipigwa |
| Mwanamanyoya akipata Ukodak na Mdau wa Skylight Band |
| Wadau wa Skylight Band Wakipata Ukodak kwa Furahaaa teleeeeee |
| Furaha ya muziki mzuri,ndio maana wadau hawa wa Skylight Band wana Rahaaaaaa |
| Weweeee na Yuleeeee usikoseeee leo ndani ya Thai village upate burudani nzuriiiiiiii!!! |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment