Msanii wa
nyimbo za kizazi kipya, Joh Makini (Mwamba wa Kaskazini) akiwa kwenye mahojiano
ya Live Metro Fm Redio kuhusu fainali za Safari Higher Learning Pool
Competition 2014 katika Ukumbi wa Shooters Pub jioni ya leo kuanzia saa mbili
jiaoni.Kushoto kwake ni Mneja matukio Kanda ya ZiWA , Erick Mwayela na Katibu
wa chama cha Pool Mwanza.
Wakiwa
kwenye mahojiano ya Live Metro Fm.
On air Live Metro Fm
Sasa ni mahojiano katika kituo kingine cha Radio Passion Fm Mwanza, kuhusu burudani na fainali za Safari Higher Learning Pool Competition 2014 katika Ukumbi wa Shooters Pub jioni ya leo kuanzia saa mbili jiaoni kushoto ni mtangazaji Philbert Kabago na kulia ni Joh Makini.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2...
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment