ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, March 26, 2014

HIZI HAPA PICHA ZA USIKU WA KUTAMBULISHA BIDHAA ZA TRESSA KWA WATU WA MWANZA

Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza  Stanslaus Mabula akipokea zawadi kutoka kwa Meneja masoko wa Kampuni ya Chemicotex watengenezaji wa bidhaa 15 zikiwemo Dawa ya meno ya Whitedent, Glycerine na Cream ya U&Me  Chemicola, vipodozi na Shampoo. 
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza  Stanslaus Mabula alitoa shukurani na kuisifia hatua hiyo kwa kusema kuwa ni uwekezaji unafanywa nchini ambao unazalisha ajira kwa wazawa sambamba na kuzingatia ubora wa kutengeneza bidhaa zenye kiwango ambazo hulinda afya ya mtumiaji na mteja.
Fashion sho ilichukuwa nafasi.
Dadaz wa Tressa.
Mc wa mpango mzima alikuwa mwanadada ambaye pia ni mwanamuziki mahiri nchini Vanessa Mdee.
Waalikwa na zawadi zao.
Tressa's flowers.
Flora wa Flora salon ya jijini Mwanza alitambulishwa kuwa mmoja kati ya mabalozi wa bidhaa za Tressa.
Offcoz na red kapeti lilikuwepo.
Waalikwa na zawadi zao.
Waalikuwa wawili walipewa huduma live kuzijaribu bidhaa za Tressa kisha wakasimulia ufanisi wake.
Pendezeshwaz zikiendelea.
Mtaalamu toka Tressa akifafanua bidhaa moja hadi nyingine.
Kulikuwa na bahati nasibu kupitia kuponi na hapa mmoja kati ya waalikwa akijichukulia zawadi yake.
"Elezea furaha yako"
The area kwa juu.
"Vipi unajisikiaje kupata zawadi?"
On the stage ni burudani toka kwa Shaa - Sugua gaga.
Sapoti ya nyomi na Sugua gaga.
Duarika....

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.