ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, January 1, 2014

LILIVYOKUWA PART LA MELINI ...LITAENDELEA LEO NDANI YA GOLD CREST HOTEL.

Usiku wa saa 00:00 ilikuwa ni birthday ya Sony Massamba hivyo tuka pop shampaigne sanjari na kulipusha mafataki hewani kuukaribishamwaka mpya 2014, pichani meneja wa K Vant James Njuu (moja kati ya wadhamini) akimwogesha keki Sony Massamba.
Cellebration ndiyo wimbo wa kwanza kuikaribisha 2014.
Every body is happy.
Ma pix ya frendz kwa blogu.
Levo uspime !!!
American thing...
Skelewuu...
Show me the way i can go!
Wakiwa club Jembe out side frendz waliimba songi la mwaka mpya  pamoko.
Jembeeeeeeeeeeee......!!
Azonto.
Prakatatumba......!!
Mzuka wa kufungua mwaka 2014 Balaaaa...!
Mkurugenzi wa Jembe ya Skylight Beach Resort Mwanza akionyesha utundu wa kulisakata huku wanamuziki wa Skylight Band wakiongozwa na Joniko Flower (mbele kulia aliyeshika kichwa) " Aya-ya-ya-yaaaaa!!!"
Big Boses.
Tukutane usiku wa leo pale Gold Crest Nyerere hall.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.