![]() |
| Waumini wa kanisa la Siloam wakiwa katika hali ya utulivu ibadani. |
![]() |
| "Mwambie na jirani yako kuwa usipo samehe hata Mungu hato kusamehe" |
![]() |
| Mchungaji Neemiah akiendelea kuwalisha waumini neno la Mungu katika ibada ya kuufunga mwaka 2013 na kuukaribisha 2014 Mwanza. |
![]() |
| Injiri ikiendelea kuzama ndani ya mioyo ya waumini wa kanisa hilo lenye utamaduni wa kuvaa mavazi meupe. |
![]() |
| Wengi wamehudhuria ibada hii iliyokuwa na mafundisho yenye kujenga watu kiimani na kiroho. |
![]() |
| Ibada ikiendelea. |
![]() |
| Mchungaji Neemiah akiendelea kuwalisha neno. |
![]() |
| Ni rafiki aliyelikiri jina la Yesu. |
![]() |
| "Ukitaka kuishi katika nchi nzuri basisamehe walio kukosea....kusamehe uleta upendo na moyo wa kutosamehe huleta kisasi" Moja kati ya neno lililosikika hapa . |
![]() |
| Sauti za vijana wa kwaya hii zilisisimua wengi. |
![]() |
| Ni wakati wa kupakwa mafuta. |
![]() |
| Mafuta ya baraka kuukaribisha mwaka 2014 uwe wa amani na mafanikio. |
![]() |
| Eimen..... |
![]() |
| Wakubwa na wadogo wamejitokeza hapa. |
![]() |
| Kwaya. |
![]() |
| Baraka na neema zitawale maisha yako ewe mtazamaji na mfuatiliaji wa mtandao huu na afanikiwe katika mwaka 2014 na kuendelea. |
Tupe maoni yako

















0 comments:
Post a Comment