Mbunge wa Nzega Hamisi K igwangalla akiwasilisha mada ndani ya kongamano lililokuwa na Ujumbe The impact of socialization for socio-economic development in our saciety.
SIKILIZA ALICHOSEMA KWA KUBOFYA PLAY.
Baadhi ya washiriki wa kongamano hili lililofanyika chuo cha SAUT Mwanza.
Dr. Joseph Mwanga akiwasilisha ndani ya kungamano.
qI suggest that:
•The family should be
restored to its status as a strong bio psycho social unit;
•Parents must balance
work and family life for proper socialization of the children. We
must not sacrifice our homes on the altar of our careers;
•Family life education
should be part of school curriculum at all levels with special emphasis on
sexuality education;
•Parents, counselors in
schools, youth centers, churches, mosques and clinics should be youth friendly
and accessible so that the youth can confide in them;
•There should be adequate
recreational facilities in schools and in the community to positively
engage the youth;
•The print and electronic
media should be censored so that immorality and violence will not be
propagated in the name of entertainment and advertisement. By Dr. Joseph Mwanga.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dkt. Anthony Diallo, aliwasilisha mada ya jinsi mawasiliano ya mitandao ya kijamii yalivyo muhimu katika karne ya sasa hasa yanapo tumiwa vizuri.
Mbunge wa Nzega Hamisi K igwangalla akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dkt. Anthony Diallo.
"Where did we go wrong" "Kwanini tu masikini wakati huo huo tu matajiri" Ni swali la uwasilishaji wa mada wa Dr. Charles Kitima katika kongamano hili. MSIKILIZE KWA KUBOFYA PLAY
Dr. Makuri.
Mr. Kazeli Bituro
Meza kuu ya wawasilishaji mada katika kongamano hilo lililofanyika Chuo cha SAUT likihusisha wasomomi wa chuo hicho, kutoka kushoto ni Rev. Dr. Charles Kitima, Dr. Hamisi Kigwangalla, Dr. Anthony Diallo na Dr. Gdrry Mshana.
Wasomi wa Chuo cha SAUT cha jijini Mwanza wakisikiliza kwa umakini uwasilishaji mada katika kongamano la The impact of socialization for socio-economic development in our society.
Mbunge wa Nzega Hamisi K igwangalla akiwasilisha mada ndani ya kongamano lililokuwa na Ujumbe The impact of socialization for socio-economic development in our saciety.
Tuwajenge wananchi kusimama katika misingi ya uwajibikaji. MSIKILIZE KWA KUBOFYA PLAY.
Elimu ya dini ni msingi muhimu wa mawasiliano, Fedha yaweza kununua vitabu lakini siyo ufahamu, fedha yaweza kununua chakula lakini siyo hamu (appetite), fedha yaweza kununua kitanda lakini siyo usingizi, fedha yaweza kukupa mashabiki lakini siyo marafiki, fedha yaweza kukupa dunia lakini siyo akhera. says Fr. Maziku L
Arusha Yasimama Kwenye Maombi: Miaka 63 ya Uhuru
-
Viongozi wa dini ,mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda na wananchi
wakiendelea na maombi katika matembezi ya kuombea mkoa wa Arusha na
maathimisho ya mi...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.