ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 9, 2013

HITIMISHO LA MAMBO YA GRAND MALT NDANI YA JIJI LA MIAMBA

Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula akikabidhi kitita cha shilingi laki mbili kama zawadi kwa michezo mbalimbali ya Grand Malt mkoani Mwanza ndani ya uwanja wa Nyamagana.

Zawadi kwa washiriki wengine.

Wadau waliohudhuria ufungwajiwa Tamasha la Filamu festival lililo chini ya udhamini wa kinywaji kisicho na kilevi cha Grand Malt.

Wanshindi na zawadi zao katika picha ya pamoja na meza kuu.

Washindi katika picha ya pamoja na wadau wa Grand Malt.

Kabla ya tukoa zawadi, Mgeni rasmi Mstahiki meya wa jiji la Mwanza Stanslaus mabula pia alipata fursa ya kuwahamasisha vijana kuthamini na kushiriki katika utengenezaji wa filamu zenye maadili.

Umati ukimshangilia Mstahiki Meya wakati akizungumza nao.

Wanne star akifanya vimbwanga vyake jukwaani....

Balaaaaa....... Mtaalamu wa kucheza na nyoka mwenye wa kundi la Wanne Star akicheza na nyoka aina ya Chatu mwenye uzito wa kilo 150...

Mneja Masoko wa TBL mkoa wa Mwanza Mr. Mbwambo naye alikuwepo kuhamasisha moja ya bidhaa zinazotengenezwa na kampuni yake Grand Malt, kulia ni Promo Master wa Safari Lager.

Eneo la tukio Uwanja wa Nyamagana ambapo mbali na tukio la Grand Malt Filamu Festival pia wananchi walioingia walipata fursa ya kuangalia live mechi za ligi ya mashindano ya Meya's Cup inayoendelea. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.