Bwana aliniambia, "Angalia, yule ni mtoto wako." Nilitaka kumwona hivyo nilimkiimbilia, lakini malaika alinisimamisha na mkono wake. Alinionyesha kuwa nilitakiwa kumsikiliza yule kijana kwanza. Nilianza kusikia kile yule mtoto alikuwa akisema. Alikuwa akiongea na kutazama upande ule wa watoto wengine. Alimuuliza malaika, "Je baba yangu na mama yangu watakuja mahali hapa mapema?" Malaika, aliniangalia, akamjibu, "Ndiyo,baba yako na mama yako karibu watakuja sasa."
Sijui ni kwa nini nilipewa upendeleo wa kuyasikia maneno yale, lakini ndani ya moyo wangu nilijua kuwa maneno yale yalikuwa ni zawadi kubwa ambayo Bwana angeweza kunipa. Mtoto huyu hakuwa akiongea kwa hasira, wala maumivu, labda kwa kujua kuwa hatukumruhusu azaliwe. Alikuwa akingojea tuu kwa upendo ambao Bwana alikuwa ameuweka moyoni mwake.
Neno la Mungu lina tuambia katika Isaya 65:19, "Nami nitaufurahia Yerusalemu, nitawaonea shangwe watu wangu; sauti ya kulia haitasikiwa ndani yake tena, wala sauti ya kuomboleza....
"Aaaah ni kweli? Oh my God mbona mapema? Lakini neno la Mungu latuambia kesheni mkiomba kwani hamjui siku wala saa ajapo mwana wa Adamu..
**********
Hatimaye Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharomillionea, baada ya kupata ajali majira ya saa 2 usiku katika kijiji cha Lusanga, Muheza mkoani humo ambapo pia ndio nyumbani kwao. Sasa naweza kusema "R.I.P Sharomilonea"
Mwili wa marehemu Sharo Milionea umehifadhiwa hospitali ya Teule Muheza mkoani Tanga.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.