ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 27, 2012

MAJUNGU NA MAKUNDI YATAPOTEA NDANI YA CCM TUKIHESHIMU NA KUKIFUATA UTARATIBU ASEMA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA, ANTHONY DIALLO


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Anthony Diallo akizungumza kwenye kikao cha Uchaguzi Halmashauri Kuu ya Mkoa wa Mwanza.
Ni Leo katika kikao cha Uchaguzi cha Halmashauri Kuu ya Mkoa kumchagua Katibu wa siasa na Uenezi, Katibu wa Fedha na Uchumi, pamoja na wajumbe watano wa Kamati ya siasa ya MKOA.






Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.