![]() |
| Serengeti Fiesta 2012 imefika hadi kwa akina mama hawa wanaoziboresha barabara zetu jijini Mwanza kwa Usafi hapa ilibidi wachukuwe flash na mchuma wetu. |
![]() |
| Mbwiga akitiririka na wana hapa ni pande za Tanganyika bus stand. |
![]() |
| Dj fetty na wadau Tanganyika bus stand. |
![]() |
| Mafundi wa Clouds fm na Tv Meboo na Daudi kazini. |
![]() |
| Tanganyika bus stand. |
![]() |
| Umia ujae.... |
![]() |
| Mchuma sehemu ya parking na Mornach Hotel ambao ni moja kati ya wadhamini wetu. |
Tupe maoni yako







0 comments:
Post a Comment