ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 25, 2011

SHAGGY KESHA TUA MWANZA, KULA SATO NA SANGARA LEO KISHA KESHO JUMAPILI KUWASHA MOTO CCM KIRUMBA

Pichani pale kati Shaggy akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni mmoja wakurugenzi wa Prime Times Promotion Godfrey Kusaga(kushoto) sambamba na wadau husika show ya kwanza Serengeti Fiesta 2011 itakayofanyika Jumapili hii (26juni2011)

Mwenyekiti wa Bodi ya Serengeti Breweries LTD Bwana Mark Bomani akisalimiana na Mwanamuziki wa kimataifa Shaggy mara baada ya kutua uwanja wa ndege Mwanza kwaajili ya kutoa burudani ndani ya msimu wa Dhahabu 2011.

Shaggy in Mwanza

Ncha Kali, Shaggy na Mchomvu on Air

Michuzi jr kwachaaa!!!..

Stage CCM Kirumba

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.