Ladie's first:- Mary Misoji Ngoboko huyu ni mwandishi wa habari jijini Mwanza, mwanachama wa Mwanza Press Club (MPC) vilevile yu mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya MPC.
Then men:- Suka 'suka' Huyu ni mkuu wa Idara ya Muziki ndani ya Radio ya watu (Clouds Fm) amekuwa na ushirikiano wa dhati na watu rika mbalimbali wa sekta ya burudani na hata mara nyingine kujitolea ktk kufanikisha safari za mafanikio kwa baadhi ya wasanii.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.