NA VICTOR MASANGU/PWANI
Serikali Mkoani Pwani imesema kwamba maandalizi kwa ajili ya tukio kubwa la sherehe za uwashwaji wa Mwenge wa uhuru kitaifa yanakwenda vizuri na kwamba yamefikia kiwango cha asilimia 96 na kwamba unatarajiwa kuwashwa rasmi April 2 mwaka huu katika viwanja vya shirika la Elimu Kibaha.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.