NA ALBERT GSENGO/ BUTIAMA/ MARA
WENGI wanafahamu nyumbani kwa Baba wa Taifa katika eneo la Mwitongo, Kijiji cha Butiama, mahala alipozikwa pia, pale ambapo sasa ni eneo la kivutio cha utalii. Lakini Jeh unaijua nyumba ya kwanza kabisa ya Hayati Baba wa Taifa ambayo kwa mila na desturi za Wazanaki alipaswa kujenga au kumiliki nyumba ili kuwa na sifa ya kuoa? Kwa siku ya leo tunaye mtoto wa sita kati ya watoto nane wa Hayati Baba wa Taifa huyu si mwingine bali ni Madaraka Nyerere. #samiasuluhuhassan #butiama #mwitongo #nyerereTupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.