YANGA wameshatua Algeria kwa ajili ya mchezo wa pili wa kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwafuata wenyeji wao, MC Alger ambao wanakutana Jumamosi, wiki hii jijini Algiers.
Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara wamefanya mazoezi ya kwanza usiku wa kuamkia leo Ijumaa baada ya kutua nchini humo wakitoka kushinda mchezo wa ligi dhidi ya Namungo, ikiwa ni baada ya kupoteza michezo miwili ya mashindano hayo na mmoja wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Hilal.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.