NA ALBERT G SNGO/ MWANZA
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Jijini Mwanza Stanslaus Mabula haya ndiyo aliyoyawasilisha jana Tarehe 14 September 2022 mbele ya Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, akihitimisha ziara yake kwa kuweka jiwe la msingi Mradi wa Maji Butimba, Mwanza. Mahitaji ya maji kwa sasa kwa jiji la Mwanza ni lita milioni 160 lakini uwezo wa kuzalisha maji wa chanzo cha maji Capripoint ni lita 98 tu, hivyo baada ya mradi huu kukamilika ifikapo mwezi Disemba 2022 (kama ahadi ya kuharakisha) utaongeza lita milioni 48 na kuwa suluhu ya uhakika kwa changamoto ya upatikanaji wa maji hadi mwaka 2040.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.