ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 18, 2019

MBWANA SAMATTA AWEKA REKODI UEFA



Ni mechi ambayo Mbwana Samatta hataisahau maishani mwake kwa mambo matatu kuwa mtanzania wa kwanza kucheza European Champions League na pia kufunga goli katika mechi yake ya kwanza ya UEFA CL.

Matokeo ya 6-2 dhidi ya Salzburg hayakuwa mazuri lakini Samatta ameandika rekodi binafsi na za kitaifa. Mtanzania gani mwingine anaelekea huko alifika Samatta?.

Pia katika mchezo huo Samatta alionyeshwa kadi nyekundu kabla referee hajaenda kuangalia tukio hilo upya ili kujiridhisha kupitia teknolojia mpya ya VAR ambayo ilimuonyesha haikua straight red card badala yake aliibadi na kumpa kadi ya njano

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.