Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika Ibada ya Kumsimika Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Mwanza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande katika eneo la Kawekamo Jimbo kuu Katoliki la Mwanza .Mei 12,2019.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.