GSENGOtV
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula, leo Jumapili ya Tarehe 4 Novemba 2018 amekabidhi zawadi kwa washindi wa nafasi za juu katika Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza, lililofanyika kwa takribani wiki nzima na sasa kuhitimishwa kwenye viwanja vya chuo hicho.
Sanjari na kukabidhi zawadi za fedha taslimu kwa washindi mbalimbali pia Mama Angeline ametia chachu kwa wanamichezo wa timu za soka wanawake na wanaume kwa kuwakabidhi seti mpya za jezi kwa kila timu washindi ikiwa ni pamoja na mipira.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula, akihutubia Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza, lililofanyika kwa takribani wiki nzima na sasa kuhitimishwa kwenye viwanja vya chuo hicho kilichopo wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula, akimkabidhi zawadi ya shilingi 150,000/= mshindi wa kwanza wa mbio za mita 100 wasichana Tabu Magesa katika Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza
Mpira wa Miguu wavulana washindi walikuwa Tiger Fc,
Mpira wa Miguu wasichana washindi ni Golden Star Fc,
Mpira wa Pete (Netball) washindi ni Shooter Girls,
Mpira wa Kikapu washindi ni GIM
Riadha mita 100 wavulana mshindi ni Elisha John.
Pia katika Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza upande wa Elimu washindi mbalimbali wamepatikana.
Proposal Writing:- Mshindi ni Joseph M. Japan
Presentation Writing:- Mshindi ni Petro Mchumi
Computer:- Mshindi ni Shahban Abdalah
Map Drawing:- Mshindi ni Hashimu Munis
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Sehemu ya kusanyiko la wanafunzi Bonanza la Michezo la Chuo Cha Mipango Mwanza.
Picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.