🕎..... Mwishoni mwa juma hili siku ya Ijumaa ya tarehe 12 oct 2018 Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, Akimwakilisha Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amefungua kusanyiko la Ibada ya Mafunzo ya Kuishi katika Imani.
Jumuiya ya Markaz Fiisabililah Tabrigh yenye makazi yake Gongolamboto jijini Dar es salaam ndiyo waandaaji wa Mafunzo hayo.
Pia katika viwanja hivyo kumekuwa na zoezi la uchangiaji damu.
Pamoja na Uzinduzi, hii hapa sehemu ya yale yaliyojiri ndani ya kusanyiko hilo. kwa Shekh Abbas Juma Kachibu mmoja kati ya viongozi waandamizi .
#DamuSalama
#TanzaniaNiMoja
#Upendo
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.