ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 15, 2018

BREAKING: FAMILIA YA MO DEWJI WATANGAZA DAU LA BILIONI 1



 Baada ya Billionea wa Kitanzania MO Dewji kutekwa siku ya Alhamisi ya Traehe 11 mwezi wa 10 mwaka huu katika hoteli ya Collesium iliyoko Oysterbay jijini Dar es salaam akiwa anaingia hotelini hapo kwaajili ya kufanya Mazoezi watu waliosemekana ni wazungu wawili walipiga risasi hewani na kumteka mfanya biashara huyo.

Ndani ya masaa zaid ya 85 kupita familia ya billionea huyo imevunja ukimya na kutangaza rasmi dau nono la shillingi billioni 1 kwa Atakaetoa taarifa itakayoprlrkea kumpata mfanya bishara huyo, vilevile wametoa shukrani kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kufanya jitihada kwaajili ya kumtafuta mtoto wao, vilevile kuvishkuru vyombo vya habari kwa kulichukulia suala hilo kwa uzito wake. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.