ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 5, 2018

"WATANZANIA TUJENGE TABIA YA KUSOMA VITABU"



NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtV
Mkurugenzi wa Maktaba ya Kujitegemea ya Mwaloni Ndg. Edwin Chovenye ametoa rai kwa Vijana na Taifa kwa ujumla akisema kuwa ili Taifa la kesho liweze kumudu Teknolojia na Ukuaji wa Maendeleo ya Viwanda, vijana wa kizazi cha sasa wanapaswa kujiwekea utaratibu wa kujenga mazoea ya kusoma vitabu.

"Ndugu zanguni, hakuna jambo jema kama kujisomea vitabu... Unapata mambo mengi sana...Badala ya kuangalia TV , au kupoteza muda sana na gadgets zako, Nashauri ununue vitabu uwe unajisomea Utashangaa jinsi ufahamu unavyoongezeka.... 
Si rahisi kurubuniwa na watu rahisi rahisi..
NI utamaduni mzuri.." Hayo ni baadhi ya maneno ya msisitizo toka kwa Mzee Chovenye

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.