ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 27, 2018

"HAKUNA MWANAMUZIKI NINAYE MUOGOPA BONGO" ASEMA MKALI HUYU TOKA MWANZA



GSENGOtV
Imekuwa faraja na fahari kubwa kukutana na mwanamuziki huyu, Jimmy Manzaka, mwanamuziki anayeimba muziki wa bandi mwenye asili ya DRC, aliyeamua kuhamishia kwa muda makazi yake jijini Dar es salaam toka jiji la miamba Mwanza. 

Nimezungumza naye mengi, nimepiga stori naye kama kijana anayetafuta mafanikio, anafanya anachoamini na ninamtabiria mafanikio.

Anasema hakuna msanii Bongo anayeogopa kukutanishwa naye na kufanya kolabo na wala hahofii kufunikwa, zaidi ya yeye kufunika. FUATILIA KICHUPA KUBAINI KIPI KINAMPA KIBURI.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.