Profesa Godius Kahyarara. |
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Profesa Godius Kahyarara na kumteua William Erio kuwa mkurugenzi mpya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Julai 14, 2018 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa inasema kabla ya uteuzi huo Erio alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.