Promota wa mpambano wa ngumi Zahoro Maganga katikati akiwanuwa mikono juu kuwatambulisha mabondia Ramadhani Migwede 'kushoto' na Shomari Milundi kulia kwa ajili ya mpambano wao wa agost 8 utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Ramadhani Migwede Kushoto akitunishiana misuli na Sgomari Milundi baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Agost 8 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala katikati ni Promota wa mpambano uho Zahoro Maganga Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Ramadhani Migwede Kushoto akitunishiana misuli na Sgomari Milundi baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Agost 8 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala katikati ni Promota wa mpambano uho Zahoro Maganga Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Sgomari Milundi akisaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga na Ramadhani Migwede siku ya nane nane Mabondia atika Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ramadhani Migwede akisaini mkaraba wa kuzipiga na Shomari Milundi siku ya nanenane katika ukumbi wa Dar Live Mbagala Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Shomari Milundi na Ramadhani Migwede wamesaini kuzipiga Agost 8 katika ukumbi wa Dar live Mbagala mpambano wa raundi sita mabondia hawo wenye mashabiki lukuki watapanda ulingoni kusindikiza mpambano wa mahasimu wawili litakalopigwa siku hiyo.
Watakutana bondia Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' na Saidi Mbelwa 'Moto wa Gesi' watazipiga kwa raundi kumi zisizo na ubingwa mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mbalimbali ya ngumi pamoja na burudani mbalimbali zitakazo kuwepo siku hiyo
Akizungumza kuhusu mpambano huo Promota Zahoro Maganga amesema siku hiyo kutakuwa na burudani za kutosha hivyo mashabiki wajitokeze kwa wingi kuja kushidia mpambano uho uliokuwa unasubiliwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa mchezo wa ngumi.
Ujue mabondia hawa walikuwa wakitafutana mda mrefu na walitaka kupigana ila mpambano wao aujafanyika sasa mimi nikamuwa kuwakutanisha ili wazipige kwa ajili ya kujua nani zaidi katika mpambano wa masumbwi alisema Maganga.
Siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatuampaka kujua kitu kamili katikamchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.