NA ZEPHANIA MANDIA / G.SENGO TV.
SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA TDWC, LIMETOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA
HABARI MKOA WA MWANZA KUWAJENGEA UWEZO WA JINSI YA KURIPOTI TAARIFA NA UFUATILIAJI
WAKE HATUA KWA HATUA IKIWA NI PAMOJA NA JINSI YA KUZIBAINI CHANGAMOTO WALIZONAZO
WATOTO WAFANYAO KAZI ZA MAJUMBANI.
JOSEPHAT MWANZI,NI MWALIMU WA MAFUNZO HAYO AMESEMA
TATIZO LA UNYANYASAJI WATOTO WAFANYAO KAZI ZA NDANI BADO NI KUBWA,TAKWIMU
ZINAONYESHA TANZANIA BARA NA VISIWANI IDADI NI KUBWA KWA ZAIDI YA WATOTO 12OO
WANAFANYAKAZI ZA NDANI KUISHI KATIKA BWIWI LA MANYANYASO NA KUNYIMWA HAKI ZAO
STAHIKI.
MRATIBU WA MAFUNZO HAYO BWANA GEOGE LEONARD, WA SHIRIKA
LISILOKUA LA KISEREKALI LA TDWC, AMESEMA KWA SASA WANASAPOTI MASHIRIKA ZAIDI YA
50 YALIYOKO KANDA YA ZIWA ILI WAAJIRI NA WATOTO WAFANYAKAZI WA NDANI KUPATIWA
ELIMU YA KUTOSHA.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.