Wakazi wa mkoa wa Mwanza wameshauriwa kuzitumia taasisi za fedha kwa ajili ya kukuza biashara na kujiendeleza kiuchumi na kufikia lengo la serikali kufikia uchumi wa kati.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa benki ya I and M mkoani mwanza Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella amesema kuwa taasisi hizo zikitumika ipasavyo zitasaidia kuchochea maendeleo kwa haraka .
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.