ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, May 13, 2018

BILA KUFICHA HARMONIZE AFUNGUKA JINSI ILIVYOKUWA HATIMAYE KOLABO LAKE NA SARKODIE


BILA kuficha wala kumumunya maneno, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Harmonize ameweka bayana jinsi alivyolinasa kolabo lake na mwanamuziki mkali toka nchini Nigeria Sarkodie na hatimaye akatumbukia stuo na kuweka mistari ya 'ji-Songi'  "DM Chick" Take your time na ushuhudie kile kilichofanyika naye akafunguka katika mazungumzo baina yake na mtangazaji wa kipindi cha 'KIKWETU' wakuitwa Natty E Brandy, kinachoruka kila Jumamosi mishale ya saa 4 asubuhi hadi saa 7 mchana Redio Jembe Fm Mwanza.

Kikihusika na muziki wa wasanii Afrika Mashariki kwa nchi za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na nyumbani Tanzania.

**Hivi unajua 'Mtego' wa lugha tamu ya kiswahili na matamshi yake umekuwa chachu ya wasanii wengi duniani kukubali kolabo na wakali wa Tanzania?

**Humo ndani pia kawazungumzia wasanii wa nchini Rwanda, Jeh anafahamu chochote kuhusu muziki wao?


Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.