WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ''Vyandarua
bure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukiona''.Waziri Ummy
akizungumza leo kwenye ugawaaji wa Vyandarua katika Zahanati ya Mwandiga
mapema leo,mkoani Kigoma.
WAZIRI
Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada
ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda
mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri wa mwaka mmoja,
mpango ambao unaendeshwa na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa
Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa
Marekani wa kupambana na Malaria. Kulia ni mwakilishi wa USAID Tanzania
Andy Karas.
Mwakilishi wa USAID Tanzania Andy Karas akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Asha Juma baada ya uzinduzi wa ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri wa mwaka mmoja, mpango ambao unaendeshwa na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasikiliza akinamama wanaudhuria kliniki kwenye Zahanati ya Mwandinga Wilaya ya Kigoma Vijijini baada ya kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendesha na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Raisi wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasikiliza akinamama wanaudhuria kliniki kwenye Zahanati ya Mwandinga Wilaya ya Kigoma Vijijini baada ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendeshwa na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Raisi wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendesha na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria.

*Vyandarua
Bure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukiona
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya
Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza Waganga Wakuu Wa Mikoa,Wa
Wilaya na Waganga Wafawidhi kuweka Matangazo katika Vituo vya Afya, Zahanati na
Hospitali kwamba huduma za upimaji na Matibu ya Malaria ni bure na Wananchi hawatakiwi
kulipia kwakuwa kuna wafadhili wanao gharamia gharama hizo.
Maagizo hayo aliyatoa jana Mkoani Kigoma katika
Zahanati ya Mwandiga Wakati akizindua ugawaji wa Vyandarua endelevu vyenye dawa
ya Muda mrefu ,kwa Wakina Mama wajawazito na Watoto wenye umri wa Mwaka Moja wa
ushirikiano wa Serikili ya Tanzania kupitia wizara ya afya kitengo cha kudhiti
malaria na Shirika la misaada la marekani (USAID) ambapo alipokea Malalamiko
kutoka kwa Wananchi wakidai kutozwa fedha kwaajili ya Matibabu na Wakati serikali
imeagiza Zoezi hilo ni bure.
Waziri Mwalimu alisema Ugawaji endelevu wa Vyandarua
ni mradi unaoendeshwa kwa pamoja na shirika la JohnsHopkins Center for
Communication na Vectorworks kwa ufadhili wa shirika la misaada la Marekani
(USAID) kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa Kudhibiti malaria Na kuratibiwa na
Serikali kupitia Mradi wa Kupambana na Malaria NMCP kwa hiyo vyandarua hivyo ni
bure na Wananchi wanatakaiwa wasilipie.
Aidha alisema ofisi ya takwimu (NBS) katika kaya mwaka
2017 zilionyesha kupungua kwa kiwango cha Maambukizi ya Malaria hadi chini ya
asilimia 10% kutokana na Mikakati iliyowekwa na Wizara kuhakikisha wanatokomeza
ugonjwa wa Malaria.
Alisema mikakati ya Serikali ni kuongeza kasi ya
upimaji wa Malaria kwa kutumia kipimo cha (mRDT) Hadubini na Kutumia dawa za
mseto pindi wanapothibitika kuwa na Vimelea vya malaria , kuwapatia Wajawazito
Vyandarua vyenye viuatilifu ili kujikinga kuumwa na Mbu pia kuwapatia dawa za
Sp kwa kipindi maalumu wakati wa ujauzito ilikuwakinga na madhara yatokanayo na
Malaria.
"Niendelee Kusisitiza dawa za malaria na Matibabu
ni bure Wananchi hawatakii kulipia, wafadhiri wetu wanajitoa sana kuhakikisha
Suala la Malaria liishe , Waganga wafawidhi wanatuangusha sana niombe muweke
matangazo na namba za simu kwenye vituo vya Afya iliwananchi watakao lipishwa
watoe Malalamiko yao ilikuweza kuondokana na changamoto ya Ugonjwa wa
Malaria", alisema Mwalimu.
Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma
Vijijini , Elisha Robarti alisema zahanati hiyo inakabiliwa na upungufu wa
Watumishi wahitaji ni watumishi 15 na waliopo ni watumishi saba hali
inayopelekea Watumishi kulemewa.
Wakitoa Malalamiko yao Wananchi waliofika kupata
huduma Katika Zahanati hiyo mbele ya Mh Waziri, Lydia Leonard alisema Wamekuwa wakitozwa
shilingi 2500/= kwaajili ya Kipimo cha Malaria na kulipa dawa wanapofika
kwaajili ya Matibabu .
Alisema pamoja na kuwa na Kadi ya bima ya Afya lakini
bado wanaendelea kutozwa fedha na kumuomba Waziri kusimamia suala hilo
iliwaweze kupata Matibabu bure kama serikali inavyo elekeza.
Hata hivyo Wananchi hao Shukuru Issa aliomba Serikali
kuwajengea Kituo cha Afya Kata ya Mwandiga pamoja na kuboreshewa huduma Za Maji
kwani maji wanayo yatumia sio salama na Wanalazimika kutumia Kilomita 13 kufuata
huduma na Waziri alitoa maelekezo kwa halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Vijijini
kuanza ujenzi wa kituo hicho kwakuwa kata hiyo inawatu wengi na inahitajika
kupata kituo cha Afya.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.