ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, March 9, 2018

VIDEO FULL:- SHINYANGA YAONGOZA KWA MIMBA ZA UTOTONI.


Zaidi ya wanafunzi elfu 66 wa shule za msingi na sekondari nchini wamekatisha masomo yao baada ya kubemba mimba huku kati yao wanafunzi elfu saba wakitoka mkoani Mwanza ambao ni asilimia 37 huku mkoa wa Shinyanga ukiongoza kwa kuwa na asilimia 59 ikifuatiwa na Tabora yenye asilimia 58 Mara asimilia 55 na Dododma asilimia 51 ukiwa ni utafiti wa taasisi zisizo za kiserikali zinazo jishughulisha na kubaini na vitendo vya ukatili. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.