NA ZEPHANIA MANDIA WA G.SENGO TV
Taasisi za kifedha zimekuwa zikitoa elimu kwa wananchi kuhusu uwekaji akiba, matumizi bora ya fedha na kuhimiza kutumia benki kwaajili ya usalama wa fedha zao.
Benki ya NBC ambayo ni mojawapo ya taasisi ambazo zimekuwa zikihamasisha wananchi kujiwekea akiba kupitia Malengo akaunti imechezesha draw maalum kwa washiriki wa kampeni hiyo iliyofanyika kwa kipindi cha miezi mitatu katika kanda ya ziwa.
Katika kampeni ya akaunti ya malengo iliyoendeshwa na benki hiyo kwa nchi nzima,kwa upande wa kanda ya ziwa mkazi wa Tarime, TUNDA MACHAGE ameibuka mshindi kwa kujinyakulia gari dogo maarufu kama “kirikuu”
Meneja wa kampeni ya wekeza NBC MTENYA CHEYA,Nae akasema kuhusu droo hiyo (CHEKI video).
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.