ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 19, 2018

KISHINDO CHA RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARATazama jinsi Rais Magufuli alivyofungua mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaofanyika leo (19/03/2018) Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi ni Rais Magufuli, Wajumbe wa mkutano huo ni wawakilishi wa wafanyabiashara na wawekezaji nchini. Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa baraza hilo, amewataka wafanyabiashara wote wafunguke kero na vikwazo vinavyowakabili katika biashara

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.