Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto), akikwagua gwaride
la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu
utumishi wa jeshi hilo, Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza
Ukonga, jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila , akipunga mkono wa
kwaheri wakati wa hafla ya kumuaga
akistaafu utumishi wa jeshi hilo. Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya
Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi
Gwaride
la heshima likipita mbele ya Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, wakati wa hafla ya kumuaga
kamishna msaidizi huyo iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza
Ukonga, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kulia),akipongezwa na maafisa
wa jeshi hilo baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo katika hafla
iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, akipongezwa na mkewe Yunisi
Mwaisabila (kulia), baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya
kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini
Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto) akipongezwa na
mjukuu wake baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga
iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es
Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI- WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.